×

Drake Alichomfanya Demu Anayetafuta Mchumba Mtandaoni (VIDEO)

Rapa toka Canada, Aubrey Drake Graham ‘Drake’, amechangamkia fursa ya msanii Steflon Don wa Uingereza aliyetangaza kuwa anatafuta mtu wa kuwa na mahusiano naye katika mtandao wa Instagram, Novemba 2, mwaka huu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Drake alitumia fursa hiyo na kuanza kuongea na msichana huyo kwa kina kuhusiana masuala ya kazi, mahusiano na kumuahidi mambo kibao iwapo wangekutana.

 

Kipande cha video ya Instagram cha kina dakika sita kinamwonyesha Drake akisema, “I can organize all your heels and your fits and your wigs for you, I’ll make sure they’re all color coded. I’m a confident guy, I hold my own in any room, I’ve known you for a while, we buss ’nuff jokes together.

Naye Steflon Don alimjibu Drake kwamba atamtafuta  amwambie kama ameridhia wazo hilo. Hata hivyo,  katika siku za karibuni wawili hao wameonekana pamoja huko Miami wakifurahi pamoja na kunywa.

 

TAZAMA VIDEO YA MAONGEZI YAO HAPA