SIMA AIONGOZA TANZANIA MKUTANO MABADILIKO YA TABIANCHI – POLAND
Global Publishers December 11, 2018
SHARE THIS:
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Sima (wa pili kushoto) akisalimiana na Prof. Petteri Taalas ambaye ni Katibu Mkuu wa World Meteorological Organization. Sima anaongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 24 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea Katowice Poland.Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Freddy Manyika, akichangia jambo katika hafla hiyo. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Dkt. Agnes Kijazi (kulia) akizungumza na Prof. Petteri Taalas. Picha ya ukumbusho.