×

Makonda Awakusanya Mabosi Wa Kila Idara Na Kumuuliza Mkurugenzi – ”Kati Ya Hawa Nani Haumtaki?”- Video


Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda katika muendelezo wa ziara yake Arusha mjini amekutana na kizingiti cha ofisi nzima kutofanya kazi ipasavyo hivyo amewaahidi kuwapiga spana kwenye mkutano.

Leave a Comment