×

CCM WATUMA SALAMU ZA POLE NA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA RUGE MUTAHABA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa huzuni kubwa taarifa za kifo cha Ruge Mutahaba, ambaye amekuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Habari cha Clouds Media, kada wa CCM na Kiongozi Kijana aliyejijengea na ukubalifu kwa Chama, Serikali na Umma. Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe, Amina.