Rais Magufuli amemteua Dk. Augustine Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na pia amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Mawaziri hao wataapishwa Ikulu kesho tarehe 04 Machi 2019 saa 3:30 asubuhi.