×

Lilivyofikishwa JENEZA la KIBONDE Nyumbani Kwao, Vilio Tu! – VIDEO

Mwili wa marehemu Ephraim Kibonde, umewasili nyumbani kwao maeneo ya Mbezi mapema leo asubuhi na kupokelewa kwa vilio na majonzi.