×

Breaking: Uwanja Wa Sokoine Wafungiwa, Mechi Ya Yanga Yaahirishwa

Muonekano wa Uwanja wa Sokione.

Mchezo wa Yanga dhidi ya Tanzania Prisons wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliokuwa uchezwe kesho tarehe 27/12 kutokana na Uwanja wa Sokione kuwa katika hali mbaya Umeahirishwa na utapangiwa tarehe nyengine.

 

Baada ya Timu zote kufikia makubaliano hayo baada ya kupokea taarifa ya hali isiyoridhisha kiusalama kwenye Uwanja wa Ihefu ambao ulipendekezwa na Bodi ya Ligi kutumika kwa mchezo huo kesho kama Mbadala wa Uwanja wa Sokoine.

Leave a Comment