
BINGWA LABORATORY LTD,Wazalishaji wa Bidhaa za Walivyoungana na Global tv na kuwapa Wafanyabiashara hao kilocho bora zaidi.
Kwa Udhamini wa Emina Products tulifanikiwa kutembelea Maeneo tofauti ya Kigogo na Sinza ili kujionea Mazingira na aina za bidhaa wanazotumia Wafanyabiashara hao kila siku kama sehemu ya kazi zao, Ndipo tulibaini kuna kitu kimepungua ambacho wafanyabiasha wengi wakikipata basi watapata wateja zaidi.

Leo ndani ya Emina Product tumewaletea Bidhaa ya EMINA GLASS CLEANER ambayo hutumika zaidi kusafishia Vioo vya Magari, Nyumba pamoja na aina yeyote ya kioo, Tazama Video hii ujionee mwenyewe.
Pia unaweza kuwapigia kwa namba hizi 0745215253 au 0688618139 Makao Makuu ya Ofisi zao Zilizopo Upanga Jijini Dar es salaam.
