
DERVA wa gari dogo aina ya Nissan March lenye namba za usajili T968 DNZ linalodaiwa kuwa ni la huduma ya UBER, amefariki dunia baada ya gari hilo kugongana na basi la UDART maarufu kama Mwendokasi katika eneo la Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, Aprili 19, mchana.







PICHA NA MUSA MATEJA | GPL