×

Ngo’mbe Anavyochinjwa, Kuchunwa Hadi Kutolewa Utumbo! – Video

Wengi wetu tunaishiaga kuona nyama ya Ngo’mbe ikiwa Buchani tunanunua na kwenda kupika majumbani, lakini hatujui mnyama huyu anaandaliwaje mpaka kufika Buchani.

Video Hii inakuonyesha jinsi Ngo’mbe anavyochinjwa, kuchunwa ngozi mpaka kukamilika kwa ajili ya kupikwa.