×

Siku 7 Baada ya Ajali Morogoro, Hali Ilivyo Eneo la Tukio – Video

IKIWA ni siku saba tangu kutokea kwa ajali ya lori la mafuta kuwaka moto eneo la Msamvu mkoani Morogoro, Jumamosi ya Agosti 10, 2019,  na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 90 mpaka sasa, na wengine zaidi ya 20 wakiwa bado ni majeruhi, Global TV imefanya mahojiano na baadhi ya wakazi wa mkoa huo ili kufahamu ilivyo na hali za majeruhi.

Pata habari  kupitia video ya hapa chini.