
Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Stella Aradini ameelezea safari yake ya udereva pamoja na changamoto alizokumbana nazo mpaka sasa alipofikia..
Mwanamke huyo ameomba msaada wa ulinzi kwa Makamu wa Rais, Bi. Samia Suluhu na kusema “Nimeshawahi kupigwa risasi.”