×

WAFURAHIA INTANETI YA BURE MKUTANO WA MAWAZIRI SADC

Ofisa Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Innocent Mungi, akipata maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa Tigo juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni hiyo wakati wa mkutano wa mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc).  Kampuni ya Tigo imedhamini huduma ya intaneti bure (Wi-fi) yenye spidi ya 4G+.
Mshereheshaji maarufu nchini katika shughuli za kiserikali, Peter Mavunde,  akipatiwa huduma wakati wa mkutano huo wa Sadc.
Katibu wa Mamlaka ya Usafirishaji wa anga Tanzania (TCAA), Vallery Chamulungu,  akipata huduma  katika mkutano huo wa Sadc ambapo kampuni ya Tigo imedhamini huduma ya intaneti bure (Wi-fi).