×

Tigo Yachangamkia Fursa za Mkutano wa Mawaziri wa SADC

 

Mkurugenzi Mtendaji kutoka Tigo, Simon Karikari, akiwasilisha mada kuhusu Upatakanaji wa huduma za Mawasiliano vijijini, wakati wa Mkutano  wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa, uliofanyika katika Ukumbi wa JNICC DSM, jana.
Tigo ni kampuni pekee yenye internet ya kasi ya 4G+ na ndio mtoa huduma rasmi ya Wi-Fi katika wa mkutano huo.