TARIIFA NJEMA: Kwa kipindi kirefu umekuwa ukitafuta ni sabuni ipi kiboko ya kuondoa uchafu na madoa sugu kwenye nguo zako. Sasa jibu limepatikana; Ni Sabuni za Unga za Azania Marhaba na Azania King Limau.
Zinang’arisha nguo na kukufanya uwe nadhifu unapozivaa, yaani hadi raha, hazichubui mikono. Sabuni za Unga za Azania Marhaba na Azania King Limau. Zinaondoa madoa yote sugu mfano oli, utomvu uliogandamana, tope na uchafu wote unaoujua.

Zina harufu nzuriiiii… Kama huamini, jaribu leo uone tofauti ya Sabuni za Unga za Azania Marhaba na Azania King Limau na sabuni zingine, ubunifu wa sabuni hizi haijawahi kufanyika Bongo. Zinapatikana nchi nzima, Tanzania Bara na Visiwani.
Kama ulikuwa hujui, msanii Nandy anatumia Sabuni za AZANIA Marhaba na AZANIA King Limau na ndo chaguo lake namba moja. Hatumii sabuni nyingine. Unaambiwa hii ni zaidi ya Usafi. Bidhaa ni mpya kabisa kutoka @azaniagroup.
Mwasiliano piga: +255 710 111 112