×

Mama Amlilia JPM, Mume Aitwa “Mtarudiana” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali waliomsubiri njiani wakati akilekea Makao Makuu ya nchi jijini Dodoma.