
Droo ya Round ya 16 ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya imechezwa leo Jumatatu, Desemba 16, 2019, na matokeo ndo kama hivyo.

Timu ambazo zilimuondoa Napoli katika hatua ya 16 Bora UCL:
✍ 2011-12 Chelsea wakaitoa Napoli na kutwaa Ubingwa
✍ 2016-17 Madrid wakaitoa Napoli na kutwaa Ubingwa
✍ 2019-20 Napoli 🆚 Barcelona ?
🇪🇸 Atletico vs. Liverpool 🏴
✍ Liverpool wameshinda mechi 1 tu kati ya mechi 4 za mashindano ya Ulaya dhidi ya Atlético Madrid (W1-D2-L1), na waliondolewa mara ya mwisho walipocheza dhidi ya Atletico kwenye Nusu Fainali ya Ligi ya Europa (2009/10).
Nani unampa nafasi ya kutwaa Ubingwa?