Timu ya Tanzania wanatupwa nje ya mashindano ya Chalenji baada ya kufungwa bao 1 -0 dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa KCCA Lugogo. Uganda wanakwenda fainali kucheza na Eritrea ambao wamewafunga kenya mabao 4-1.