×

Mtanzania Atengeneza Meli Yake “Nimetumia Miezi Miwili”

 

Dunia inazidi kupanuka na teknolojia inazidi kukua kila kukicha, unaweza usiamini lakini ukweli ni kwamba kijana Mtanzania, mkazi wa Kigoma, amefanikiwa kutengeneza sampo ya meli aliyoipa jina la Liemba.

 

Global TV Online imezungumza na kijana huyo ambaye alikuja Dar es Salaam kumsalimu ndugu yake na alipofika akapata wazo la kutengeneza meli ambayo imetumia miezi miwili tu kukamilika.

 

Leave a Comment