Huu ni ushuhuda wa Grace, Raia wa Afrika Kusini na mzaliwa wa Tanzania, simulizi ya maisha yake ina changamoto kadha wa kadha ambazo zitakuwa funzo kwako, kwani pamoja na yote aliyopitia mwanamke huyu hajawahi kukata tamaa.