×

Guiness: Besigye Kiongozi Aliyekamatwa Mara Nyingi Zaidi Duniani

KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye,  ametajwa katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness kuwa kiongozi aliyekamatwa na polisi mara nyingi zaidi duniani.

 

Katika taarifa ya kitabu hicho iliyotoka juzi Jumanne, Januari 20, 2020, imeeleza kuwa Besigye amekamatwa mara 50 nchini Uganda, na juzi Jumatatu ndiyo ilikuwa siku ya karibuni zaidi kwa kiongozi huyo kukamatwa na polisi.

 

Rais huyo mstaafu wa chama cha Forum for Democratic Change katika mara 50 alizokamatwa, asilimia 30 ilikuwa mwaka 2016 ambako alikamatwa mara 15.

Leave a Comment