EXCLUSIVE: WAKONTA Anunua GARI ya MAAJABU, VITI Vinatoka NJE – Video
Global Publishers January 25, 2020 4,628 views 0 Comments
SHARE THIS:
Binti mlemavu wa viungo, Wakonta, amefanikiwa kununua gari yake mwenyewe maalum kwa ajili ya watu wenye ulemavu ambayo inamsaidia katika kufanya shughuli zake kwa kutoka sehemu moja ama nyingine..