×

Peter Msechu na Mke wake Walivyokata Keki – Video


Mwanamuziki Peter Msechu na Mpenzi wake wa siku nyingi Amma Lauren wamefunga ndoa Januari 25, 2020 katika kanisa la KKKT usharika wa Ununio. Mara baada ya ibada ya ndoa yao kumalizika kanisani, Msechu na mke wake wamefanya sherehe ya harusi katika ukumbi uliopo Mbezi jijini Dar.

Leave a Comment