×

VIDEO: Vituko vya PETER MSECHU Akiingia Ukumbini na Mkewe

Msanii wa muziki wa Bongo fleva nchini Tanzania, Peter Msechu na Mke wake Amma wamewavunja mbavu watu waliohudhuria sherehe ya harusi ya ndoa yao wakati wakiingia ukumbini kwa staili ya aina yake. Msechu na Amma wamefunga Ndoa Takatifu katika kanisa la KKKT Usharika wa ununuio

Leave a Comment