Kama kawaida Katika kipindi cha DSM Flavour cha Global Radio, kila wiki staa mmoja anapewa kadi nyekundu na kutolewa nje ya mchezo ambapo wiki hii mwanamuziki, Alpha, ametoa kadi hiyo kwa mkali wa Bongo Fleva, Abdu Kiba, na kumtaka aachane na muziki badala yake akasimamie vikoba..