×

Mhandisi Peter Ulanga Arejeshwa Ttcl Kuendelea Na Majukumu – Video

Mhandisi Peter Ulanga aliyeondolewa kwenye nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) siku 2 zilizopitwa, arejeshwa katika nafasi hiyo

Ilielezwa kuwa angepangiwa majukumu mengine baada ya Maharage Chande kuteuliwa kushika nafasi yake ndani ya TTCL

Leave a Comment