×

Mondi Kukosa Tuzo Ilipangwa, Harmonize, Burna Boy Watajwa – Video

Global TV imewakabidhi maiki mashabiki wa damu wa WCB ambao huwaambii kitu kuhusu mwanamuziki, Diamond Platnumz, ambao wamezungumzia ishu ya mwanamuziki huyo kukosa tuzo za Sound City kule Nigeria.

Leave a Comment