×

Vodacom Tanzania yaungana na PAPU katika ujumuishwaji wa kifedha

Mkuu wa mauzo wa Vodacom kanda ya kaskazini, Brigita Stephen akizungumza jinsi ambavyo kampuni ya Vodacom inaweza kuwa mshirika na PAPU katika ujumuishwaji wa kifedha (financial inclusion) kwenye mkutano wa Pan African Postal Union (PAPU) uliofanyika jijini Arusha. Pembeni ni Naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, Dkt. Jim Yonaz

Matukio katika Picha:

Leave a Comment