Global Publishers January 30, 2020 4,578 views 0 Comments
SHARE THIS:
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema anasikitishwa na tabia ya watu wanaopeleka taarifa za uongo kwake ili kuwachongea wenzao wafukuzwe kazi au waondolewa kwenye nyadhifa zao.