Hatimaye rafiki wa karibu wa Msanii wa Bongo Fleva, Peter Msechu, Baba Levo ametoa sababu za kutohudhuria harusi ya Rafiki yake huyo ambayo ilifanyika January 25, mwaka huu jijini Dar es salaam.