
Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Anny Dickson Dickson @anielaprincess anajulikana kama Anita ndani ya tamthilia ya Jua Kali, amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa alipitia msoto mkali sana mpaka kufikia kulala Bahari kwa siku 27.
Je unadhani nini kilimpata mpaka akawa analala Baharini, basi hakikisha haukosi kisa kamili ndani ya YouTube ya Global TV