Msukuma Amvaa Heche, “Wivu Tu, Bora Msigwa Mfuga Mbwa” – Video
Global Publishers February 5, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Kasheku ‘Msukuma’, amemvaa Mbunge mwenzake wa Tarime, John Heche (Chadema), kwa kitendo chake cha kuibeza Wizara ya Madini ambayo kwa mujibu wake imefanya kazi kubwa sana kwa wachimbaji wa madini.