
Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, na Mhadhiri wa Dini ya Kiislamu, Shehe Kishki leo amewatuliza na kuwapongeza waislamu wa Kilosa mkoani Morogoro na kuwataka wengine kote nchini kuwa watulivu kufuatia mtu anayedaiwa kukikashifu na kukichana kitabu chao kitukufu cha Kur’an.
Shehe Kishki alisema hayo wakati akizungumza na wanahabari kwenye mkutano uliofanyika Tandika Mwembe Yanga, Dar.
HABARI: NEEMA ADRIAN
PICHA: RICHARD BUKOS/GPL