×

Simba Yaitupa nje Stand United Kombe la Shirikisho

Timu ya Simba leo Jumatano 25, 2020 imesonga mbele Kombe la Shirikisho dhidi Stand United kwa mikwaju ya penalti ya 3-2, mchezo ulipigwa katika Uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga na kutinga robo fainali.

Leave a Comment