×

Abdul Nondo Arejesha Fomu Kugombea Nafasi Nyeti ACT – Video

 

Mwanachama wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo amerejesha fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ACT Wazalendo.

 

Hadi sasa, Nondo anakuwa miongoni mwa wagombea watano waliochukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ACT.

Leave a Comment