×

Magufuli, Mkewe Washiriki Ibada ya Majivu Dar

Rais  John Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oyster Bay,  Padre  Alister Makubi,  wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es Salaam leo Februari 26, 2020.

RAIS   John  Magufuli  na mkewe, Janeth Magufuli, leo Februari 26, 2020, wameshiriki Misa ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oyster Bay  jijini Dar es Salaam.

Mama Janeth Magufuli,  akipakwa majivu.

Leave a Comment