Mtangazaji Braka Mpenja ametoa maoni yake kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa kesho Jumapili, Machi 08, 2020 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.