Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewataka Watanzania kuachana na ushabiki wa vilabu vya Simba na Yanga, na badala yake waishangilie timu yao Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.