Global Publishers March 8, 2020 4,604 views 0 Comments
SHARE THIS:
Baba Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amefariki leo Machi 8, 2020, saa nne asubuhi akiwa Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga. Mdogo wake Kanumba, Mjanaeli Kanumba amethibitisha. Aliugua kwa muda mrefu.