×

Jimmy Kindoki: Simba Mtawaambia Nini Watu, ‘Mmeolewa’ – Video

Mtanange wa Watani wa Jadi, Yanga Sc vs Simba Sc umemalizia katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku Yanga wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa kwa mkwaju wa adhabu na Bernard Morrison dakika ya 44.

MASHABIKI WA YANGA WANASEMAJE BAADA YA GAME KUMALIZIKA?

Leave a Comment