MWENYEKITI wa chama cha wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, leo Machi 14, ametembelea ofisi za Global Group zilizopo Sinza na kufanya mahojioano katika redio yetu ya mtandaoni ya +255 Global Radio, ambapo amezungumzia masuala mbalimbali yahusuyo siasa nchini.