×

Mwanamke Awekewa Virusi vya Corona, Ajitoa Muhanga -Video

Mwanamke mmoja nchini Marekani, Jeniffer Haller mwenye umri wa miaka 43 leo Machi 17, 2020 amekubali kufanyiwa majaribio ya dawa itakayotumika kama chanjo ya virusi vya corona.

Jennifer ni mama wa watoto wawili lakini anasema licha ya kufahamu kuwa jaribio hilo ni hatari ameamua kujitoa kulifanya ili kuiokoa Dunia.

“Ninaifurahia hii fursa ya kufanya kitu kikubwa kitakachoisadia jamii kwa vizazi vya leo na kesho pia kama chanjo itafanikiwa”– alisema Jeniffer

Leave a Comment