×

Video: Dereva Aliyembeba Mama Mwenye Corona Apatikana, Rc Gambo Athibitisha..

MKUU wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, leo Macji 17, amethibitisha kupatikana kwa dereva aliyembeba mama Isabella, ambaye ni mtanzania aliyegundulika kuwa na virusi vya ugonjwa wa Corona

Leave a Comment