VODACOM YATAMBULISHA PEPPER ROBOT KWENYE MAONESHO YA UBUNIFU DODOMA
Global Publishers March 17, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano Vodacom Tanzani ,Jaqueline Materu (kulia) akiwapa maelezo baadhi ya wananchi kuhusu kazi anazofanya roboti ajulikanaye kwa jina la Pepper ,walipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya mashindano ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknilojia kwenye uwanja wa Jamhuri jijini DodomaMeneja miradi kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania,Christine Lucas (kushoto) akitoa maelezo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia ,Dk Avemaria Semakafu wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya mashindano ya Sayansi na Teknolojia na Ubunifu
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano Vodacom Tanzani ,Jaqueline Materu (kulia) akiwapa maelezo baadhi ya wananchi kuhusu kazi anazofanya roboti