Rais John Magufuli amesema watu 12 wamebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona Tanzania.
Idadi hiyo ni sawa na ongezeko la wagonjwa sita kutokana na kuwepo wengine sita hadi leo asubuhi Jumapili Machi 22, 2020 kabla ya Rais Magufuli kutoa tamko hilo leo mchana.