MWANAUME mmoja mwenye umri wa miaka 40, mkazi wa mkoani Manyara amemuua mke wake na kisha na yeye kujiua kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.