MSANII wa Bongo Fleva, Alikiba, leo Aprili 8, 2020, ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘ Dodo’ ambapo kwenye video hiyo amemshirikisha mwanamitindo na mwanamuziki, Hamisa Mobetto kama ‘video vixen’