Global Publishers April 15, 2020 4,056 views 0 Comments
SHARE THIS:
Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88 na wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalam afya.