Ajali hii imetokea asubuhi ya jana Aprili 18, 2020 eneo la Kongowe Kibaha katika daraja linalogawanyisha Misusugu na Kongowe, kati ya gari la Azam Bakharesa lililo kuwa na mzigo wa ngano ukitokea Dar es Salaam kuelekea mikoani, gari la kokoto zimegongana na kusababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi mmoja na tukio ambalo limechangia uwepo wa foleni kubwa.






