×

Kupata Huduma TRA Utalazimika Kuvaa Barakoa, Kuanzia Kesho

Kuanzia kesho Jumatatu Aprili 20, 2020 wageni wote watakaolazimika kufika katika Ofisi za TRA kote nchini, ili kupata huduma mbalimbali watatakiwa kuvaa barakoa kwa lengo la kujikinga na maambukizi mapya ya ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19).

 

Leave a Comment